PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Mtanzania mwingine kafikiwa na bajaj ya bure

on

Ni kwa wakati Mwingine Tena SportPesa inamkabidhi mshindi wa Droo ya saba ya Shinda zaidi na SportPesa bajaj yake huyu ni Magita Mbwega kutoka Kahama aliipokea timu ya ushindi ikiwa na Mzigo wake mpya wa bajaj ilioupeleka mpaka nyumbani kwake.

Mbwega anasema aliweka ubashiri wa shilingi elfu moja pekee na baada ya mechi akashinda shilingi elfu tano lakini habari njema kwake ilikuwa kupokea simu kutoka SportPesa kuwa ameshinda bajaj, Anadai kuwa wakati ameambiwa ameshinda hakuamini kabisa mpaka alipoona.

Mshindi huyu wa droo ya Saba ambaye ni mjasiriamali wa kuuza nafaka anaeleza kuwa ili kubashiri sio lazima uwe maskini wala Tajiri bali hii ni fursa kwa kila mtanzania.

“Unajua jambo ambalo nimejifunza tangu nimeanza kucheza na SportPesa ni kwamba mchezo huu hauchagui maskini wala tajiri mimi nina biashara yangu lakini bado kupitia ubashiri na Sportpesa ninaongeza kila siku mtaji wangu pale naposhinda ubashiri”>>> Mbwega

Walichokiamua uongozi wa Simba SC na benchi la ufundi kuhusu MO Dewji

 

Soma na hizi

Tupia Comments