HekaHeka

HEKAHEKA: Baba wa marehemu amekutwa guest na rambirambi

on

Kutokea Nyaishozi Tegeta, Dar es Salaam leo November 6, kwenye Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM Geah Habib katuletea hii kuhusiana na baba kwenda kulala nyumba ya wageni siku ya msiba wa mwanae.

Inasemekana baba huyo hakuonekana wakati wa kwenda kuchukua maiti ya mwanae hospitalini  ikabidi waanze kumtafuta kwani alikimbia na pesa za rambirambi hatimaye kukutwa kwenye nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke wa nyumba ya jirani.

Bonyeza “play” kupata habari kamili

HEKAHEKA:Ushirikina wamuua kijana, mkewe ahamishia kesi kwa wakwe

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments