Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Msimamo wa VPL, matokeo Dec 30 Harmonize akiishuhudia Ndanda ikiadhibiwa na Simba

on

Jumamosi ya December 30 2017 michezo mitatu ya Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2017/2018 iliendelea tena kwa wekundu wa Msimbazi Simba kucheza dhidi ya Ndanda FC na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli yote yamefungwa na John Bocco.

Matokeo ya game zilizochezwa leo December 30 2017

  • Mtibwa Sugar 2-1 Majimaji FC
  • Ndanda FC 0-2 Simba SC

“Nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba”-Haji Manara

Soma na hizi

Tupia Comments