Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Huyu ndio mchezaji ghali wa muda wote kutokea Afrika

on

Mwaka 2018 umeanza na rekodi mpya katika soka baada ya staa wa kimataifa wa Congo DRC aliyekuwa anaichezea Villarreal ya Hispania Cedric Bakambu kuweka rekodi mpya ambayo itamfanya kuwa ndio mchezaji ghali wa muda kutokea Afrika.

Rekodi hiyo inatarajiwa kuwekwa muda wowote na Cedric Bakambu baada ya kuthibitika kuwa anajiunga na club ya Beijing Guoan ya China akitokea Villarreal kwa ada ya uhamisho wa pound milioni 65 ambapo pound milioni 35 kama ada ya uhamisho na pound milioni 30 kama kodi kwa FA ya China.

Bakambu alikuwa akiwindwa na vilabu mbalimbali kama  TottenhamNewcastleWest Brom and West Ham kabla ya kuamua kujiunga na Beijing, kufutia dili hilo Bakambu atakuwa akilipwa mshahara wa pound 307,000 kwa wiki.

Alichokifanya Simon Msuva kwa Wakati Ujao Youth Academy

Soma na hizi

Tupia Comments