Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Askofu Gwajima aongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania

on

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani.

Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima amesema “Mimi nasema kwenye maisha yangu sishindwi hata sasa hivi nimekuja hapa Marekani narudi na Private Jet, nanunua…. why not? wale mlio Tanzania mnisikie  anaeleta ngebe namkata ngebe kwa jina la Yesu

TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUMTAZAMA….

VIDEO: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete nyumbani kwake Msoga, ‘nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja‘ PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: SHAMBULIZI, Diwani arushiwa mishale Karagwe… tazama kwenye hii video hapa chini kujionea

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments