Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 4: Achana na tetesi zake za kwenda Juventus, Ronaldo ana-enjoy tu na familia yake

on

Wakati tetesi za Cristiano Ronaldo kuhama Real Madrid na kujiunga na Juventus zikizidi kuchukua headlines kila sehemu kipindi hiki cha usajili, ameonekana akiwa busy na familia yake ana-enjoy likizo wakati huu watu wakijiuliza atacheza timu gani msimu ujao.

Ronaldo akiwa na mpenzi wake Georgina na mtoto wake Ronaldo Jr

Ronaldo baada ya kuondolewa katika fainali za Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya taifa ya Ureno, ameenda mapumziko akiwa na familia yake wakati huu akiwa anahusishwa kwa karibu kujiunga na Juventus.

Kama ufahamu tu Ronaldo akijiunga na Juventus atakuwa akilipwa mshahara wa euro milioni 30 kwa mwaka, kitu ambacho kimepelekea wafanyakazi wa kiwanda cha magari cha FIAT ambao ndio wadhamini wa Juventus kugoma, kwani mshahara wa Ronaldo utakuwa ukilipwa na FIAT wakati wafanyakazi wao wana mwaka wa 10 hawajaongezwa mshahara.

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments