Tangaza Hapa Ad

Michezo

Headlines za Magazeti ya Zimbabwe baada ya ushindi dhidi ya Taifa Stars

on

November 13 2016 timu ya taifa ya Zimbabwe Warriors dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars mchezo wa kirafiki uliokuwa katika kalenda ya FIFA, Stars ilipoteza kwa goli 3-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa wa michezo wa Zimbabwe.

Mtu wangu wa nguvu kabla siku haijaisha naomba nikusogezee kurasa za nyuma za magazeti ya Zimbabwe ambayo yameandika stori za michezo hususani kuhusu mechi y Taifa Stars na Zimbabwe, magazeti yalionifikia ni matatu Daily News, News Day na The Herald.

20161114_131737

20161114_131807

20161114_131640

20161114_131547

20161114_131515

20161114_131248

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement