Tangaza Hapa Ad

Mix

TRA yazikana fedha za Ngeleja, stori kubwa Magazeti ya Tanzania leo July 18, 2017

on

Mwili wa Bi. Linah George Mwakyembe mke wa Waziri wa Habari Dr. Harrison Mwakyembe utaagwa leo ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan atawaongoza waombolezaji kuuaga mwili huo Kunduchi, DSM.

Gumzo la fedha za ESCROW limechukua sura mpya baada ya TRA kutozitambua zaidi ya Tsh. 40 Milioni ambazo zilirudishwa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja pamoja na issue nyingine ambazo tayari nimekusogezea karibu kupitia millardayo.com. 

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amekutana na Wanahabari DSM na kuzungumzia issue mbalimbali ikiwemo tukio la kukamatwa kwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Vincent Mashinji na Edward Lowassa kupelekwa Mahakamani…PLAY kwenye VIDEO hii kutazama kila kitu.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement