Tangaza Hapa Ad

Mix

St John’s University of Tanzania wanayo habari njema na wanapenda ikufikie

on

Kwa watu wangu ambao ama wao au watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya ama Kidato cha Nne au Sita na wanatafuta Taasisi za Elimu ya juu ili wajiendeleze zaidi ndiyo maana St John’s University of Tanzania wamenifikishia good news ambayo napenda pia nawe ikufikie.

Hii hapa chini GOOD NEWS kutoka St John’s University of Tanzania.

Tupia Comments

Advertisement