Habari za Mastaa

Filamu aliyoshiriki Marehemu Masogange, kaigiza Madawa ya kulevya, Hamisa katajwa

on

Muigizaji kutokea Bongomovie Rammy Galis amezungumza kuhusu uzinduzi wa Movie yake mpya aliyomshirikisha marehemu Masogange ambayo anatarajia kuizindua December 15, 2018 na moja ya jambo alilolitaja kwenye movie hiyo ni Masogange kuigiza kuhusu Dawa za kulevya.

Rammy pia amesema Hamisa Mobetto ni msanii ambaye alitaka kuigiza naye mbadala wa Masogange.Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama VIDEO, Rammy akizungumza.

EXCLUSIVE: Mtoto wa Masogange kafunguka hiki kwa marehemu Mama yake

RAMMY KAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI UZINDUZI WA MOVIE YA HUKUMU

Soma na hizi

Tupia Comments