Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mlinzi wa Chris Brown Mombasa kaelezea tabia za Chris toka alipompokea

on

Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila habari inayonifikia hii ni kutoka 254 Kenya ambapo millardayo & Ayo TV imefanikiwa kumpata Mlinzi wa Chris Brown Kenya aliehusika na usalama kuanzisha alipowasili Kenya mpaka alipoondoka nchini humo.

Mlinzi huyo akiongea na ripota wa millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>Mimi nilihusika katika mambo ya usalama, Kwanza msanii huyo Chris hatabiriki tabia yake mara kwa mara ni ya kugeukageuka, atafurahi/atakasirika’-Mlinzi

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii interview ya Mlinzi wa Chris Brown kuhusu Chris Mombasa

ULIIKOSA HII YA MAJIBU YA MENEJA SALLAM KUHUSISHWA KUZIMA MIC YA ALIKIBA BASI ITAZAME HII VIDEO UFAHAMU ALICHOKIONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement