Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Usipitwe na perfomance ya Diamond Platnumz Vodacom Wasafi Festival Iringa

on

Ni usiku wa December 25, 2016 ambapo wakali wa Bongofleva WCB wanaanza kukutana na Watanzania katika ziara yao kwenye mkoa wa kwanza ambao ni Iringa, WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz walisindikizwa na Chege pamoja na mwimbaji wa Nigeria Kcee.

Diamond amethubutu kuandaa show yake mwenyewe na kuifanyia kwenye uwanja wa mpira na ameweza kuweka rekodi ya kupata watu wengi, rekodi ambayo hakika inaingia kwenye rekodi zilizovunjwa bongoflevani, tazama hii video hapa chini kupata kila kitu

ULIPITWA NA HII?? VODACOM WASAFI BEACH PARTY ILIYOFANYIKA DAR ES SALAAM? BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI

ULIPITWA NA KIINGEREZA CHA SHILOLE KWENYE VODACOM WASAFI BEACH PARTY? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments