Habari za Mastaa

Muimbaji Jolie anayeamini kwenye kipaji kuliko Elimu ameongea “Kipaji kimenipeleka Ikulu”

on

Kutana na muimbaji Jolie kutokea THT ambaye amekuwa akifanya muziki wa Bongofleva, amefanya mahojiano na AYO TV na millardayo.com na kuelezea kuhusu muziki wake ambapo yeye binafsi anaamini kwenye kipaji zaidi ya elimu kwani kimemsaadia kufika mahali ambapo aliwai kutamani kufika.

Tazama mahojiano hayo kwa kubonyeza PLAY hapa chini

EXCLUSIVE: “Ndoa yangu halali sijaomba michango, ma-ex wangu walijiunga wakaja”

Soma na hizi

Tupia Comments