Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Sadio Mane ameipeleka Bongofleva katika dressing room ya Liverpool

on

Moja kati ya stori zilizochukua headlines ni post ya insta story ya beki wa Liverpool raia wa Croatia Dejan Levron kuonekana akisikiliza muziki wa Bongofleva kitu ambacho hakikutarajiwa na wengi.

Dejan Levron ni raia wa Croatia na hajui kuzungumza lugha ya Kiswahili lakini kuonekana akisikiliza wimbo wa Chege aliyomshirikisha Diamond Waache Waoane amewashitua wengi na  kujiuliza ameupataje.

Baadae Levron alichat na Chege na kumueleza kuwa mchezaji mwenzake wa Liverpool raia wa Senegal Sadio Mane ndio ameufanya aujue wimbo huo, Levron alijirekodi video na kuiweka insta story akiwa chumba cha kubadilishia nguo cha Liverpool pembe akiwa na James Milner.

VIDEO: Mapokezi ya Yanga Airport DSM na alichokisema kocha wao

Soma na hizi

Tupia Comments