Habari za Mastaa

PICHA 15: Dogo Janja na Uwoya wafturisha, Mastaa hawa wamejitokeza

on

Siku ya June 9, 2018 Star Dogo Janja na mkewe Irene Uwoya wamefuturisha nyumbani kwao ambapo walialika watu mbalimbali wakiwemo mstaa kutokea kwenye game ya Bongofleva na hata baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam.

Baadhi ya mastaa waliojitokeza ni pamoja na Billnass, Young D, Linah, Keisha, Gabo, Shamsa na wengine. Sasa millardayo.com inakukaribisha kutazama PICHA 15 za matukio tofauti tofauti kutoka kwenye shughuli hiyo ya ufturishaji.

Dogo Janja afturisha amezungumzia mjengo anaolipa zaidi ya Million 1.5

“Hatuna umoja mzuri tuna majungu Wengi wamelewa sifa” – Steve Msiba wa Sam

Soma na hizi

Tupia Comments