Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

De Bruyne amkaribisha Sanchez Manchester City

on

Taarifa za usajili barani Ulaya zinaendelea kushika headlines ambako leo January 10, 2018 mshambuliaji Kevin De Bruyne anaamini Alexis Sanchez atakuwa na mchango mkubwa wa mafanikio katika kikosi cha Manchester City.

Sanchez ambaye mkataba wake na Arsenal umesalia miezi sita anatarajia kukamilisha usajili wake wa kuichezea Man City kabla ya mwisho wa juma hili.

De Bruyne amesema: “Sanchez ni mchezaji mzuri sana. Hakika tutaona kinachotokea katika kipindi hiki cha uhamisho ila kwakweli Sanchez atakuwa ni chagua bora zaidi na tunazidi kumkaribisha atatukuta kwenye mazoezi.”

OBREY CHIRWA WA YANGA AMEFUNGIWA?

Soma na hizi

Tupia Comments