Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Ufafanuzi kuhusu vipimo vya matetemeko ya ardhi vilivyoibiwa

on

Leo September 13 2016 kwenye taarifa za magazeti imeripotiwa taarifa kuwa vituo vitatu vikubwa vya kupima matetemeko kufungwa baada ya kuhujumiwa kwa kuibiwa vipimo hivyo na vituo vingine vidogo 38 navyo vimefungwa baada ya wafadhili kujitoa.

millardayo.com na Ayo TV imempata Jiolojia mwandamizi wa wakala wa jilojia Tanzania kwenye huu ufafanuzi………

>>>’Hivyo vipimo vilivyokuwa vimeibiwa ni muda mrefu sana, ilishapita zaidi ya miaka sita hadi saba, kuhusu hivyo vyuo 38 vilikuwa ni vya muda na vilikuwa ni kwa ajili ya utafiti wa matetemeko ya ardhi ambapo wakala wa Jiolojia tulikua tunafanya utafiti huo kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Pennyslavia cha Marekani’

>>>’Vilikua maeneo tofauti tofauti kama Morogoro, Dodoma, Longido, Singida, na kazi yake ni baada ya tetemeko kutokea zinakusanywa data na kuzianalyze ili kutoa taarifa za ukubwa wa tetemeko na sio kubashiri’.

NI KWELI KUNA UHUSIANO WA KUPATWA KWA JUA NA TETEMEKOLA ARDHI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement