Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Haji Manara aongea kuhusu kuondoka Simba SC

on

Hatimae Msemaji wa Club ya soka ya Simba Haji Manara ameongea kuhusu taarifa za yeye kuacha kufanya kazi na Club hiyo ambayo juzi ilipata ushindi wa 1-0 vs Yanga uwanja wa Taifa.

Maneno ya Manara leo ni haya >>> “Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi….rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe hvyo..walichokitangaza ni uzushi…nawezaje kuwaacha simba kipindi hiki muhimu?”

MRISHO NGASSA KUHUSU YONDANI KUMTEMEA MATE KWASI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

MANENO 7 YA MBWANA SAMATTA KUHUSU ERASTO NYONI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments