Tangaza Hapa Ad

Mix

VideoMPYA: Harmorapa anaefananishwa na Harmonize ametuletea video yake mpya

on

Kwenye mitandao siku mbili hizi kumekua na habari za Harmorapa msanii mpya wa bongofleva anaefananishwa kimuonekano na mwimbaji Harmonize wa WCB ambapo kitu kingine kilichofanya awe gumzo mitandaoni ni Msichana mweupe aliyeonekana nae na kudaiwa ndio ‘Wolper wake‘.

Tukiachana na hayo, Harmorapa ametuletea hii video yake mpya inaitwa ‘usigawe pasi‘ ukishamaliza kuitazama unaweza kuacha comment yako hapa chini akipita ajue Watanzania wamempokeaje.

EXCLUSIVE: Harmorapa aongea ukweli kuhusu undugu na Harmoniza, Wolper wake je? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement