Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Hamisa na Zari vipi kuzaa na Diamond kumewafanya kuwa mastaa?

on

Hamisa Mobetto na Zari the bosslady ni wanawake ambao kwa sasa wamekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na mashabiki zao wamekuwa wakihusisha gumzo hilo kutokana na wao kuzaa na staa Diamond Platnumz  japo kuwa hawako sawa kutokana na kuonekana mara kadhaa wakirushiana vijembe kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Vipi kuhusu kuzaa na Diamond Platnumz kumewaongezea umaarufu zaidi?? Bonyeza PLAY kupata majibu kamili kutoka kwa wawili hao.

Ulipitwa na hii“Kwanini baba Tee na Nillan na sio baba Fancy?”Zari amwambia Hamisa

Soma na hizi

Tupia Comments