Tangaza Hapa Ad

Mix

Habari 5 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania September 1 2016

on

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya September 1 2016 usijali Millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka ITV

Kupatwa kwa Jua

Maelfu ya watu wajitokeza kushuhudia kupatwa kwa Jua Rujewa mkoani Mbeya na tukio hili limeweka historia Tanzania kutokana na watalii walikusanyika kuangalia tukio hilo kubwa.

o

Habari kutoka Clouds TV

Kongamano la gas na mafuta 

>>>’ Tutajenga pipe ya mafuta ya kunganisha kutoka Tanga kwenda mpaka Uganda na hii italeta ajira zaidi ya watu zaidi 15 elfu ‘ – Rais Magufuli

f

Habari kutoka

Elimu ya msingi Taaban kutokana na walimu kutoingia madarasani na kupelekea wanafunzi kumaliza shule bila kujua kusoma wala kuandika.

>>>‘Walimu wanahaki kualamika maslah ya kazi ni magumu sana, mishahara ni midogo mazingira ya kufundishia hata ya kuishi kule ni magumu sana‘- Mkurugenzi mtendaji Twaweza, Aidan Ayakuze,

k

Habari kutoka ITV

Mkutano wa wahandisi

Mkutano huo ulihusisha wahandisi kukutana na Rais Magufuli na imetajwa Serikali yasema imejipanga kujenga viwanja viwili vya ndege.

u

 Habari kutoka Channel TEN

Vikosi vya Jeshi JWTZ katika kuadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa imejihusisha na usafi nchini kila Jeshi katika vitongoji vyake na pia uchangiaji wa damu kwa Jeshi la Mwanza.

h

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA YALIOJIRI KWENYE TUKIO LA KUPATWA NA JUA MBEYA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement