Tangaza Hapa Ad

Mix

Habari 5 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania September 6 2016

on

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya September 6 2016 usijali Millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka ITV

Rais Magufuli aomba radhi wananchi walioondolewa eneo la Magomeni kota.

>>>’Naomba kisitokee tena kitu kama hiki kilichotokea Magomeni kota, tunapotaka kuendeleza mahali yale makubaliano ni lazima tuyatekeleze, tukitaka kubadilisha mandhari ya eneo fulani ni lazima tujenge nyumba kwanza kuhakikisha hawa watu wanapata mahali pakuishi, lakini nataka niwahakikishie haitatokea tena‘ – Rais Magufulik

Habari kutoka ITV

Rais Magufuli atoa siku 7 kwa taasisi za Serikali zinazodaiwa na NHC kulipa madeni

Rais ametoa tamko kwa taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na shirika za nyumba kulipa madeni yao na kumwamuru Mkurugenzi kuziondoa taasisi zote za Serikali ndani ya majengo yake kama zitashindwa kulipa ndani ya kipindi cha wiki moja.

o

Habari kutoka Clouds TV

Marais wa Afrika mashariki kukutana Dar

Tanzania imepata heshimakuwa mwenyeji wa mkutano wa 17 wa dharura utakao wahusisha wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki na unataraji kuanza September 8 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.

u

Habari kutoka Azam TWO

MV Magogoni yarejea kazini

Ni Goodnews kwa wakazi wa kigamboni na watu wanaotumia kivuko hicho kwa kwa usafiri huo kurudi kazini kuokoa msongamano wa watu na urahisi kuvusha watu kwenye kivuko hicho kutokana n uhaba wa usafiri hapo awali.

UF

Habari kutoka TBC1

Wanafunzi wa Darasa la saba kuanza mitihani yao ya kuhitimu elimu yao ya msingi kesho September 7  2016

i

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MATATU YA WAZIRI NCHEMBA BUNGENI KUHUSU CHANGAMOTO ZA  ASKARI? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement