Tangaza Hapa Ad

Mix

Habari 5 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania August 30 2016

on

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya August 30 2016 usijali Millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Channel ten

Rais Magufuli awaalika wafanyabiashara wa Cuba kuwekeza Tanzania 

Rais awakutana na wafanyabiashara kutoka Cuba nakutaka waje nchini kuwekeza katika uzalishaji wa sukari na uwekezaji katika viwanda vya kutengeneza dawa za binadamu.

hj

Habari kutoka Clouds TV

Mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yapungua mkoani shinyanga ikiwa shinyanga ni mkoa ulikuwa na rekodi iliyokithiri ya mauaji hayo ya albino.

J

Habari kutoka 

Upepo mbaya waiyumbisha CUF

Katibu wa jumuiya ya wazee wa mkoa wa Dar es salaam na na mbunge wa mtwara mjini wamesema hawa wamekiri kutotishwa na uwamuzi uliochukuliwa hapo awali na wanachama wenzao wa chama hicho.  

k

Habari kutoka ITV

Mahakamani Simiyu , Salum Mwalimu na wenzake 18 wafikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka mawili baada ya kutotimizwa masharti ya dhamana.

L

Habari kutoka ITV

Ukwepaji kodi

Wafanyabiashiara wanaokwepa ulipaji kodi ndio wanaoiathiri Serikali kutmiza wajibu wake kwa wananchi.

ll

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA TAARIFA YA KUUNGUA KWA BWENI LA SHULE NYINGINE MANYARA? UNAWEZA KUITAZAMA HAPA CHINI NIMEKUWEKEA 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement