Tangaza Hapa Ad

Mix

Habari 5 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania August 29 2016

on

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya August 29 2016 usijali Millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Clouds TV

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amevitaka vyama vya siasa kuheshimu agizo la polisi na kuacha uchochezi

>>>’vyama vya siasa vyenyewe viachane na kutoa kauli zinazochochea uvunjifu wa sheria’ – George Masaju

NEWS

Habari kutoka TBC1

Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema afikishwa mahakamani kwa kusomewa kesi mbili zinazomkabili ambapo moja ni kumwandikia ujumbe wa vitisho mkuu wa mkoa wa Arusha kupitia simu ya mkononi na na mashtaka ya pili, kusambaza ujumbe wa sauti kupitia mitandao ya simu za mkononi wa kuhamasisha maandamano september mosi.

nuzi

Habari kutoka ITV

Uhamiaji harama

Zaidi ya wahamiaji harama elfu moja wamekatwa mkoani Kagera

nazi

Habari kutoka TBC1

Vituo viwili vya Radio vyafungiwa kwa muda.

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye aliyazungumza haya mbele ya waandishi wa habari >>>’Tumevifungia kwanzia leo kwa muda wakati huo kamati ya maudhui itawaita, watakutana nao watazungumza nao alafu watashauri hatua zaidi za kuchukua kutokana na uvunjifu wa kanuni zilizofanyika kama nilivyozitaja

zizi

Habari kutoka Clouds TV

Pangua pangua CUF

Uongozi wa wananchi CUF imewachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho waliohusika kuchochea vurugu zilizotokea katika mkutano mkuu maalum uliofanyika hivi karibuni,

hu

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MALARIA KUONDOKA KABISA TANZANIA BAADA YA KIWANDA CHA VIATILIFU KUANZA KUFANYA KAZI? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement