Tangaza Hapa Ad

Mix

Habari 5 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania September 5 2016

on

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya September 5 2016 usijali Millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka ITV

Uhalifu Dar es salaam

Jeshi la Polisi limefanikiwa kuthibiti mtandao wa majambazi wa kutumia silaha.

>>>’Ukiwa na mtoto wako anajingiza kwenye swala hili la ujambazi wa kutumia silaha, swala hili la kupeleka watoto msituni kwa kujifunza,swala hili la kufundisha karate kwenye misikiti au makanisa sisi ni wazazi tunapenda nchi iwe na amani tuwakanye‘ – Kamanda wa Polisi wa Dar es salaam, Simon Sirro

m

Habari kutoka Channel Ten

Waadhirika wa mabomu ya Mbagala wasotea vidia

Waahirika wa mabomu yaliyotokea mbagala mnamo mwaka 2009 wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati utekelezaji wa malipo ya fidia ambayo wamekuwa wakiyafuatilia hazina kwa miezi mitano sasa pasipo kuambulia chochote.

k

Habari kutoka Clouds TV

Msishangae tukifeli mitihani

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ipwaga walaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wanasome nje kutokana na na ukosefu wa vumba vya madarasa.

h

Habari kutoka TBC1

Mabadiliko ya hali ya hewa

TMA imetoa angalizo la uwepo wa njaa na ukame kutokana na uwepo wa mvua za chini ya wastani chini na imesababishwa na kuwepo kwa hali ya chini ya kiwango Joto katika bahari ya Pacific na kupelekea kupungua kwa kiwango cha mvua katika maeneo mengi ikiwemo Tanzania.

x

Habari kutoka ITV

Mahakama Simiyu

Mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi la kutoa dhamana kwa washitakiwa hao Salum Mwalimu na wenzake 18 iliokuwa imewasilishwa mahakamani hapo kama madai kuwa ombi  hilo lilikuwa na dosari zisizo rekebishika.

d

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA SILAHA ZA MAJAMBAZI ZILIZOKAMATWA NA JESHI LA POLISI? UNAWEZA KUITAZAMA HAPA CHINI.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement