HekaHeka

HEKAHEKA: Anyang’anywa mali na ndugu wa mume kabla ya kufahamu kifo cha mumewe

on

Leo November 7, 2017 kupitia Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib amefuatilia hii stori kuhusiana na mama mjane kunyang’anywa mali baada ya mume wake kufariki.

Inasemekana mama huyo hakuwa na taarifa kuwa mume wake kafariki, alishangaa kuona ndugu wa mwanamume wamekuja ndani na kuanza kudai mali hizo huku wakimtaka atoke ndani ya nyumba, huu wakieleza kuwa kuwa hawamtambui yeye wala mtoto wake.

VIDEO:“Achana naye kama hatoi matumizi ya mtoto” -ZARI

Soma na hizi

Tupia Comments