Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL VIDEO: Mkuu wa Polisi TZ kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa juzi

on

Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu amekutana na Waandishi wa habari leo February 4 2017 na kuelezea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na kuhusisha baadhi ya watu maarufu na wanaotuhumiwa kufanya biashara hiyo, kila kitu alichosema kipo kwenye hii video hapa chini.

FULL VIDEO: Paul Makonda akiongea kuhusu kilichoendelea na kinachofata kuhusu ishu ya dawa za kulevya Dar es salaam, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments