Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

MKUU WA MAGEREZA: ‘Kama sio Msamaha wa Rais, Lulu angetoka hii Tarehe? (+video)

on

Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu kama Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.

Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia ambapo AyoTV na millardayo.com zimezungumza na Mkuu wa magereza Dar es salaam DCP Augustino Mboje aliekiri Lulu kubadilishiwa kifungo na atakua akifanya shughuli za kijamii kwa siku 5 kwa wiki.

Je kama sio msamaha wa Rais, Lulu angetoka gerezani Jumamosi? kuna sharti gani ambalo Lulu hakutimiza……… “bado ni Mfungwa” bonyeza play hapa chini kumtazama Mkuu wa Gereza akiongea.

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

EXCLUSIVE VIDEO NA JUX: “Vanessa Mkristo, Mimi Muislamu, hatutooana……….” mtazame zaidi akiongea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments