Tangaza Hapa Ad

“Akutukanae hakuchagulii tusi, nilikalia kiti makalio yote mawili” RC Ole Sendeka


Siku chache tu baada ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii sauti iliyodhaniwa kuwa ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akijadili namna ya utendaji wa Bunge na Awamu ya Tano ya Rais Magufuli mwenyewe ametolea ufafanuzi.

Ameeleza kuwa sauti hiyo siyo ya kwake na kwamba imetengenezwa na kuongeza kwamba sauti hiyo imetengenezwa na wapinzani ili kumfarakanisha yeye na viongozi wa serikali na walio chini yao.

“Naomba mzipuuze habari hizi kwa kiwango kinachostahili kwani zote ni uzushi mtupu , badala yake elekezeni macho, fikra na mikakati yenu katika uchaguzi unaokuja.” – RC Ole Sendeka

Kosa alilolibaini RC Makonda katika tukio la moto Buguruni

MOTO BUGURUNI: Wakazi waibiwa mali zao wakati wa uokoaji

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement