PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli

on

Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed maarufu ‘Sam wa Ukweli’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 7, 2018  katika hospitali ya Palestina, Sinza baada ya kuugua.

Taarifa kutoka kwa Mtayarishaji wa nyimbo zake aliyefahamika kwa jina la Steve amesema Sam alianza kulalamika maumivu ya tumbo tangu Jumanne hadi alipozidiwa Jumatano usiku.

Sasa baadhi ya mastaa mbalimbali wameguswa na tukio hilo na kupost kwenye ukura zao za Instagram…>>>“Dah!!!😢😢😢😢nitasema nini sasa mimi 😢😢tangulia tu mdogo wangu harakati ndio zimeishia hapa kweli????😢😢😢😢😢” – SNURA

.…>>>”Poleni Ndugu wafiwa wote na Mashabiki kwa ujumla jamani🙌 R.i.p Sam Tangulia mwaya 🙏” – WOLPER

……>>>Whaaaat? R.I.P SAM WA UKWELI🙏” Prof. Jay

MWANZO MWISHO: Birthday Party ya Gabo akata keki na kufturisha

Kala Jeremiah amemuajiri mkali wenu kuwa Bodyguard wake?

Soma na hizi

Tupia Comments