Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

ASLAY KAFUNGUKA: “Hela ya kubadilishia mboga ninayo” (+video)

on

Kwenye mahojiano na msanii Aslay amezungumza na kusema kuwa hela anayo japo ni ya kubadilishia mboga ila hela anayo hawezi kusema hana, jibu hilo limekuja baada ya kuulizwa kuwa, inasemekana yeye ni mmoja wa wasanii wenye hela sana kwa hapa bongo.

BONYEZA PLAY hapa chini kumsikiliza ASLAY akizungumzia.

B Dozen akiri kuwa yeye ni daraja la wasanii kupiga hatua, vipi anamsimamia Ruby?

Ruby kazungumza baada ya kuimba wimbo wa Nandy

Soma na hizi

Tupia Comments