Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Namuelewa Babu Tale angeweza kuandika zaidi” – Ruby

on

Siku chache zilizopita video ya Msanii kutoka Bongoflevani Ruby akiimba wimbo wa ‘Sitabaki kama Nilivyo’ ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiuliza sababu za ukimya wake, kwani ngoma yake ya mwisho ilikuwa ni ya ‘Walewale’ ambayo aliitoa April mwaka 2017.

Timu ya Ayo TV na millardayo.com ilimpata kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW ambapo amezungumza masuala mbalimbali ikiwemo kueleza sababu ya yeye kuwa kimya kipindi hiki chote kuwa alihitaji muda wa kujitafakari na kujipanga.

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa kisa Diamond

Hivi ndivyo Idris Sultan alivyomkumbuka EX wake

 

Soma na hizi

Tupia Comments