Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Majibu ya Lipumba kuhusu tuhuma za kukihujumu chama cha CUF

on

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wanachin  CUF Prof. Ibrahimu Lipumba akiwa kwenye kipindi cha power breakfast cha Clouds Fm September 8 2016 amejibu kuhusu taarifa iliyotolewa kwenye gazeti kuwa Jumuiya ya wanawake CUF imesema anatumika kukihujumu chama hicho.

Akijibu tuhuma hizo Prof. Lipumba amesema….>>>’mimi nastaajabu wanazungumza hivyo jumuiya lakini wanamsimamisha uanachama kwa lengo la kutaka kumfukuza Magdalena Sakaya…..sasa nani anayekibomoa chama’ 

Unaweza kusikiliza hapa chini

ULIKOSA MAONI YA PROF. LIPUMBA KUHUSU KUPANDA KWA DENI LA TAIFA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement