Serengeti Baloziz
NMB Account

Home » Michezo » Mashabiki wa Arsenal na Manchester United mpo? ya huyu shabiki je?


Mashabiki wa Arsenal na Manchester United mpo? ya huyu shabiki je?

manchester unitedMchezo wa mpira wa miguu umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mashabiki duniani ambapo ndani yake kumekua na stori nyingi sana, utani, za kuhuzunisha, usajili, ushindi, kushindwa na nyingine.

Kufuatia kutofanya vizuri kwa club ya Manchester United, shabiki mmoja ameamua kuihama club hiyo na kujiunga na nyingine…. tazama hii video hapa chini uone kila kitu.

Use Facebook to Comment on this Post

Tags :
Previous post link
Next post link

Scroll To Top