Premier Bet

HekaHeka

HEKAHEKA: Ujumbe wa mapenzi ulivyopelekea wanandoa kuchomana visu

on

Mtangazaji Geah Habibu leo May 3, 2017 kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM ametufikishia Hekaheka ambayo imetokea mkoani Mtwara ambapo wanandoa wamechomana visu kwa kinachodaiwa kuwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Inadaiwa kuwa wanandoa hao walijifungia chumbani kwao na kisha kelele zikasikika ambazo ziliwafanya majirani kuvunja mlango kuingia chumbani humo na kumkuta mwanaume akiwa ameshika kisu akiwa tayari amemchoma mkewe.

Baada ya mume huyo kumchoma mkewe kisu na kudhani amemuua, aliamua kujichoma kisu na kufariki.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story

Hekaheka ya mpangaji aliyechomwa kisu na mpangaji mwenzake wakigombea ndala

Soma na hizi

Tupia Comments