Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Dada asimulia alivyotapeliwa mtandaoni

on

January 11 2017 kupitia kipindi cha Leo Tena  cha Clouds Fm Geah Habibu ametuletea Hekaheka inayohusu Dada aliyetapeliwa mtandaoni na watu wanaotumia picha za viongozi akiwemo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na mama Salma Kikwete.

Watu hao wametengeneza website ambayo wanadai kuwa wanatoa mkopo kwa muda mfupi, Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori……

HEKAHEKA: Mpangaji kaiba mume wa mama mwenyenyumba, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement