Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Ukweli wa Daktari feki kufanya utapeli wodi ya wazazi Mnazi Mmoja

on

Jana October 26, 2016 Kupitia Heka Heka ya Clouds FM, mtangazaji wa Leo Tena alikutana na stori kuhusu utapeli uliofanywa ndani ya wodi ya wajawazito kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Inaelezwa kuwa kuna jamaa aliyejifanya ni Daktari Hospitalini hapo alimtapeli mgonjwa ambaye ni Mama Mjamzito ambaye alikuwa katikati ya uzazi, tapeli huyo alianza kumlaghai mume wa mgonjwa ambaye aliambatana na shemeji yake na kujifanya anamjua huyo vizuri.

Mzazi anasema alimuona jamaa huyo mara moja alipotoka nje kwa ajili ya kumpa mdogo wake simu ili akatoe pesa wakamnunulie pamba ndipo alimuona mdogo ake akiwa ameongozana na jamaa huyo tapeli na alijitaamabulisha kama rafiki wa mumewe na kudai kuwa anafanya kazi hapo hospitali.

Geah Habibu amefatilia stori hiyi kiundani na kuzungumza na wahusika wa Hospitali ya Mnazi Mmoja akiwemo Kaimu Katibu wa Hospitali hiyo aitwaye Merry Kilowoko ambaye ameelezea tukio hilo kiundani.

ULIPITWA NA HII YA NAIBU WAZIRI WA AFYA DR. HAMIS KIGWANGALA KUHUSU WANAWAKE KUNYONYWA MATITI ILI KUJIKINGA NA KANSA? BONYEZA PLAY HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement