Tangaza Hapa Ad

Mix

HEKAHEKA: Ajifungia ndani na kujichoma kisu, majirani waelezea kilichopelekea ajiue

on

September 27 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib amekutana na hii iliyotokea Tandale jijini Dar es salaam ambapo mwanaume mmoja amejiua kwa kujichoma kisu, majirani waeleza ni baada ya kugundulika kuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI, millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.

>>>’Alikuwa anaumwa TB alikuwa anatumia dawa na mimi nilikuwa nimekaa naye majira ya saa 12 akaniagiza vocha, narudi nakuta mlango umefungwa, nikampiugia simu ikwa inaita tu hapokei’:-Mke

>>>‘Tulianza kuchungulia dirishani naona mlango kwa ndani umefungwa, majirani wakachungulia wakaona mtu kalala, ikabidi wanisaidie kuvunja mlango kufungua tukakuta kisu kipo shingoni’;-Mke

‘walivyoenda akapima akaonekana ana virusi akamwambia mkewe kuwa mimi mgonjwa, na leo asubuhi alidondoka ndio akajua hii safari kwa sababu hivi virusi kwanini vimefikia hivi na vimeniamaliza haraka, watu wakamwambia hiyo ni hali ya kawaida tu kwa hiyo Mungu yupo, watu wanajiuliza kwa nini achukue maamuzi ya harakka wakati ukishaanza kutumia dawa unakuwa vizuri,  hata pale tulipokuwa tumekaa tulikuwa tunaongea hivyo’-Jirani

Unaweza kusikiliza full story kwa kubonyeza play hapa chini

 

ULIKOSA HII ZIARA YA RAIS MAGUFULI  KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement