Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Mwenye jinsia mbili asimulia hali yake na anachotamani kifanyike

on

November 29 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds FM  Geah Habib ametuletea hekaheka ya mtu mwenye jinsia mbili na anaomba msaada wa kuondoa moja, millardayo.com imekusogezea full stori.

Mtu huyo anasema toka akiwa mdogo amekuwa akiishi maisha kama mwanaume lakini mama yake alimwambia aishi kama mwanamke kutokana na hali za kike ambazo zilikuwa zikimtokea lakini yeye anasema hapendi kuishi kama mwanamke………

>>>’Nakumbuka nilishawahi kununuliwa gauni, ile gauni sikuivaa, baada ya mama kunilazimisha niliichana, kuishi mazingira ya mwanamke siwezi napenda kuwa mwanaume, nilishabahatika kuwa na mwanamke lakini sijawahi kufanikisha kufanya nae tendo la ndoa’ 

Unaweza kusikiliza full story kwa kubonyeza play hapa chini

VIDEO: RC Makonda alivyoamuru Wenyeviti watano kuchukuliwa na polisi katikati ya mkutano, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement