Tangaza Hapa Ad

Kama umepotelewa na mtoto hii Heka heka ya leo inakuhusu


turnkey_shabnamfm_01_bigHii ni heka heka iliyotokea hapa 88.5 DarĀ  juu ya mtoto aliyepotea na kuokotwa na msamalia mwema,mtoto huyu kwa maelezo yake anatokea Tanga 96.o japo anadai alikuja na baba yake baadae wakapishana,hizi ni dakika 12 za kusikiliza heka heka hii na leo ni siku ya nne leo tangu mtoto huyo aokotwe na msamalia.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement