Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Sikiliza Hekaheka ya leo ni kuhusu Kijana aliyembaka mtoto mpaka kupoteza fahamu.

on

On-air-sign-_-AAHili ni tukio la kusikitisha ambalo limetokea huko Salasala ni kuhusu kijana mkazi wa Salasala kumbaka mtoto wa miaka 6 ambaye kwa kitendo hicho  moja ya vitu vilivyotokea ni mtoto  kupoteza fahamu,hiki ndicho walichokisema baba wa mtoto,shuhuda pamoja na mjumbe sikiliza kwa kupitia 88.5 Clouds Fm Dsm.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments

Advertisement