Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Kuhusu bibi aliyefukuzwa na dada yake kisa mshirikina

on

HekaHeka ya LEO TENA Clouds FM leo November 3 2016 inayo stori ya Bibi Zuena kutoka Mwananyamala Kisiwani Dar es salaam.

photogrid_14781649570381

Kwa mujibu wa majirani wanasema kuwa bibi huyo alifukuzwa na ndugu yake kutokana na kudaiwa kuwa ana mambo ya kishirikina  lakini mwenyewe alipoulizwa amesema ndugu yake aliyemfukuza ndie mchawi na aliwahi kuchomewa nyumba zake tatu.

“Tangu alivyokuja kutoka Tabora yule dada ake alimtoa nje akamfukuza wakaja wajukuu zake wakamchukua ikabidi ampeleke kwa dada yao sasa wamemleta kwa dada ake hapa ndio katolewa nje kama unavyomuona hapo.”Jirani

“Nipo hapa tangu mchana kichwa kinauma sana na macho yanauma, hata ikifika usiku nitalala hapa, mi naishi nyumba hii nakaa na mjukuu wangu, sijala mpaka saizi. Mimi ni ndugu yake kabisa lakini tabia zake ni chafu huko nyumbani kwetu wamefumkuza kwasababu ya kuchukua chakula kwenye mashamba ya watu kwa njia za ushirikina.” – Bibi Zuena

Kuipata full stori bonyeza Play hapa chini.

VIDEO: Uliikosa taarifa ya shule zilizoshika nafasi za mwisho kwenye matokeo ya Darasa la Saba 2016? Ipo hapa

VIDEO: Zipo hapa Dakika 6 za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo akiwa Bungeni Dodoma. Bonyeza Play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement