Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Kaburi lafukuliwa siku chache baada ya mazishi Bagamoyo

on

Leo February 6 2017 kupitia LEO TENA ya CloudsFM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea Bagamoyo Pwani kuhusu ndugu waliokuta kaburi la ndugu yao limefukuliwa siku chache baada ya mazishi.

‘Nilivyokwenda kuthibitisha ni kweli kburi limefukuliwa na limefukuliwa kama 75% ya kaburi liko wai na 25% kimebakia, mpaka sasa hatuelewi nini kimefanyika’ – Kaka wa Marehemu

Ulikosa? Hekaheka ya aliyejifungulia kwenye choo cha kanisa na kukiacha kichanga? Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement