Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Hekaheka ya aliyechoma visu ovyo watu wa Mabibo Dar es salaam

on

Leo January 24 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea Mabibo Da es salaam ambapo jamaa ambaye juzi usiku baada ya kuwa na utani na wenzake aliokuwa anakunywa nao pombe alikasirika na kwenda kuchukua kisu.

Jamaa baada ya kurejea hakuwakuta aliokuwa anataniana nao, matokeo yake kila aliyekuwa anapita mbele yake alimjeruhi, anadaiwa alijeruhi watu watano lakini mtu mmoja baada ya kufikishwa hospitali alifariki. 

Kupata Full Stori Bonyeza play hapa chini

ULIKOSA? Undani kifo cha Mwanamke Mtanzania aliyeuawa na mume kisa kachumbari, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement