Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Asimulia alivyotobolewa macho huku watu wakishuhudia bila msaada Buguruni DSM

on

September  29  2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib amekutana na hii iliyotokea eneo la Mabibo Hostel jijini Dar es salaam ambapo kijana aliyetolewa macho yote mawili na jamaa aliyetajwa kwa jina Scorpion. Geah Habib amezungumza na kijana huyo anayeishi kwa wakwe zake baada ya kupoteza uwezo wa kuona na amesimulia…

>>>’kuna jamaa alikuja akasimama begani kwangu akasema kaka nina shida nikamwambia sema haraka nataka kuondoka akakaa kimya nikawaangalia wauza kuku labda kama wanamjua huyo jamaa nikaona kuna mtu anamnong’oneza muuza Kuku nikawaza hata kama ni mwizi hapa mbele ya watu hawezi kunifanya kitu’

>>>’hata sijakaa sawa nikashtuka nachomwa Visu vingi sana vya mgongo na tumboni huku wauza Kuku wanaangalia tu akaniangusha akachukua hela laki tatu nikiwa nimepoteza fahamu akanisogeza barabarani akanitoboa macho.

Kusikiliza full story unaweza kubonyeza play hapa chini

ULIMISS TAMKO LA MAMA WEMA KUHUSU WANAOMTUKANA MWANAE? TAZAMA VIDEO HII

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement