Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

AUDIO: Jamaa halali mpaka achungulie watu usiku, madirisha ya mtaa yote kayatoboa

on

August 30 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Yombo Buza Dar es salaam ambapo jamaa halali usiku mpaka achungulie watu usiku ‘kupiga chabo‘ na juzi alikamatwa, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.

Polisi jamii ambaye mara nyingi amekuwa wakikutana naye na amemuonya mara nyingi bila mafanikio…….>>>‘nimeshamkamata zaidi mara sita, anaweza kuacha gari kule barabarani huwa anatembea tu kichochoroni kwenye nyumba za watu’

>>>mume wangu alimkamata dirishani kwangu, watu tukaitana wote tukamwambia tabia hii sio nzuri, jana pia tulikuwa tumelala tukaitwa ilikuwa saa tano na nusu mtaa wa pili:-Mpangaji mwezie

ULIKOSA  HII YA MR BLUE ALIVYOTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA FIESTA MULEBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement