Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Shemeji mtu alivyouawa kwa kuchomwa kisu na mume wa dada yake

on

Leo January 26 2017 kupitia Leo tena ya clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka ambayo imetokea Mbezi Dar es salaam ambapo mke ambaye amekuwa akinyanyaswa kwa kupigwa, kulala bila kula na wakati mwingine kulala nje.

Kwa kuwa ndugu zake walikuwa wanaishi karibu na dada yao siku ya tukio walifika nyumbani kwa dada yao kwa ajili ya kuzungumza na shemeji yako ili kujua tatizo ni nini lakini walipokuwa wakimuita shemeji yao atoke ndani ili wazungumze, alitoka na kuwajeruhi watu wawili ambapo mmoja alifariki baada ya kufikishwa hospitali

Kusikiliza Full Stori, Bonyeza play hapa chini

Ulikosa? undani wa kifo cha Mwanamke Mtanzania aliyeuawa na mume kisa kachumbari, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement