Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Hekaheka ya Mchungaji tapeli aliyenaswa hotelini na muumini

on

Leo February 7 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea Dar es salaam kuhusu jamaa aliyejifanya Mchungaji na kuwatapeli Waumini lakini baadae alinaswa kwenye mtego na waumini akiwa Hotelini.

Bonyeza play  hapa chini kusikiliza Full stori

HEKAHEKA: Kaburi lakutwa limefukuliwa Bagamoyo siku chache baada ya mazishi, Bonyeza play hapa chini kusikiliza

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement