Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Tunae Madee time hii katusogezea video mpya ya ‘Hela’

on

Tunae Madee kutoka Tiptop Connection leo na ametuletea video ya single yake mpya inaitwa ‘hela‘ na imefanywa hapahapa Tanzania na Director Khalfan, ukishaitazama usiache kutoka comment yako

ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Madee alivyopatanishwa live Redioni na Mama Makavaka..

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement