Top Stories

LIVE: Wizara ya afya wazungumzia Waganga wanaotangaza aina ya magonjwa wanayotibu

on

Muda huu kupitia AyoTV tunakuletea LIVE, Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. FaustineNdugulile anazungumza na waandishi wa habari kuhusu waganga wanaotangaza magonjwa wanayotibu.

Onyo alilotoa Dr. Mwakyembe kwa Maafisa habari wa Serikali nchi nzima

Soma na hizi

Tupia Comments